Majadiliano:Bunge la Tanzania

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Riccardo Riccioni

Kuna mtu leo ameondoa orodha ya wabunge wa Tanzania katika ukurasa bunge. Hiyo ni sawa, lakini si vizuri kuihamishia humo badala ya kuifuta tu? Au imepitwa na wakati? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:28, 6 Oktoba 2017 (UTC)Reply

Return to "Bunge la Tanzania" page.