Majadiliano:Businde (Kyerwa)

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Baba Tabita

Mwandishi asiyesajiliwa aliandika:

Businde Ni Kata Ndani Ya Wilaya Ya Kyerwa , Inapakana Na Mto Kagera Kwa Upande Kaskazini Mashariki, Inapakana Na Kata Ya Mabira Kwa Upande Wa Kusini. Vijiji, Businde Ina Vijiji Vifuatavyo Bugara,nyakashenyi,mugaba,omunchekano. Diwani Wa Kata Ya Businde Anaitwa Mh,prudence Mweyunge. Baadhi Ya Mazao Muhimu Katani Businde Kahawa, Tukirejea Ktk Historia Mwaka 2011 Businde Ilikuwa Imechafuka Watu Kadhaa Walipoteza Maisha Hasa Kasarara , Migogoro Hiyo Ambayo Chanzo Ilikuwa Wizi Kilizua Tafulani. Matukio Mengine Yalitokea Bugara Mwaka 2015 Chanzo Ushirikina Na Wizi Watu Kama 10 Waliuawa Kwa Kuchomwa , Na Tukio Kama Hilo Lilitokea Kajumilo Kitongoji Ktk Kijiji Kinachopakana Na Kata Ya Bugomora Nyakashenyi Ambapo Watu Kama 7 Nao Walipigwa Hadi Kufa Sababu Ya Wizi, Pia Ktk Maendeleo Kata Hii Ina Shule Ya Sekondari Businde, Na Shule Za Msingi Maendeleo Iliyoko Kibanda Nyakashenyi Mwisho Shukrani Kwa Mheshimiwa Eustard Tibategeza, Francis Agustine Wote Wakiwa Kibanda Nyakashenyi Pia Bishanga Peter

Ilibidi kuondoa aya hiyo kwa vile ilifuta habari iliyomo. --Baba Tabita (majadiliano) 10:38, 22 Juni 2016 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Businde (Kyerwa) ".