Majadiliano:Chama cha Wananchi

A alaykum napendelea kufahamu ya kwamba kuhusu vyama vingi,khawsa kwa vyama ambavyo vimesajiliwa kuanzia miaka ya tisini vinamkakati gani wa kulisaidia Taifa letu kiuchumi,kwa sababu limekuwa ni tatizo kubwa katika nchi yetu hayo.Kwa sababu nchi yetu inarasmali nyingi itakuwaje iwe ni katika nchi masikini,Tafa dhali viongozi kuweni na uchungu na nchi yenu,kwa nini ninasema hivi kwa sababu wanao faidika na rasmali zetu ni wageni kwa hiyo tuliangalie hilo.Nawaombeeni kwa muumba awawezeshe kulifanyia kazi hilo.

Start a discussion about Chama cha Wananchi

Start a discussion
Rudi kwenye ukurasa wa " Chama cha Wananchi ".