Majadiliano:Chiyonofuji Mitsugu
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Baba Tabita in topic Umbo
Umbo
haririMakala hii inaonekana kama imetafsiriwa kwa mashine bila kurekebishwa baadaye. Maneno ya Kiingereza yamebaki humo (k.m. "bettered"), tena karibu kila sentensi ina makosa ya kisarufi na ya kitahajia. Irekebishwe punde iwezekanavyo. --Baba Tabita (majadiliano) 20:11, 2 Oktoba 2010 (UTC)