Majadiliano:Dedan Kimathi

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala in topic Serikali ya Uingereza??

Serikali ya Uingereza?? hariri

Siamini ya kwamba serikali ya Uingereza ina neno lolote kuhusu kaburi la Kimathi. Kenya imekuwa nchi huru tangu miaka 40. Naomba chanzo cha tamko hili litajwe.

Lakini ni swali njema kwa nini serikali za Kenyatta na za Moi hazikuchukua hatua za kufunulia mahali alipozikwa. Leo hii watu walioshiriki wakati ule ama wamekufa au ni wazee mno kama bado wapo. Sidhani ya kwamba mahali patapatikana. --Kipala 18:01, 11 Juni 2007 (UTC)Reply

Return to "Dedan Kimathi" page.