Majadiliano:Ebola virus disease

Latest comment: miaka 9 iliyopita by ChriKo

Tayari kuna kurasa mbili kuhusu ugonjwa huu: Maradhi ya virusi vya ebola na Ebola. Kwa nini kuongeza wa tatu, tena wenye jina la kigeni? Halafu wameweka jina la kituo chao na kaulimbiu chini! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:22, 11 Novemba 2014 (UTC)Reply

Nafurahi kwamba ChriKo amekubali tuunganishe, lakini uwe ukurasa mmoja au ziwe mbili? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:51, 13 Novemba 2014 (UTC)Reply
Sioni haja ya kuwa na zaidi ya ukurasa mmoja. Ninapendekeza kuunganisha matini yote katika ukurasa Ebola. ChriKo (majadiliano) 23:33, 16 Novemba 2014 (UTC)Reply
Return to "Ebola virus disease" page.