Open main menu

Majadiliano:Fasihi

Yaliyomo

jadiliEdit

nadharia ya uchanganuzi linganuzi -asili -nguzo mbinu zake -udhaifu wake

FasihiEdit

Fasihi ni tawi la sanaa linalotumia lugha ya mazungumzo au maandishi katika kufikisha ujumbe kwa hadhira.Hadhira ni mtu anayepokea au kusikiliza kazi ya kifasihi.

FasihiEdit

Fasihi ni sanaa ya lugha inayoshughulikia masuala yanayomhusu binadamu kama vile matatizo yake, ndoto zake, matumaini yake, migogoro yake na jinsi anavyoingiliana na mazingila yake.

Dhima za fasihi katika jamiiEdit

Kuna dhima nyingi za fasihi katika jamii dhima hizo ni kama:

  • Kuburudisha jamii
  • Kuelimisha jamii
  • Kuunganisha jamii
  • Kukuza lugha
  • Kukuza uwezo wa kufikiri

Kigezo:Mbegu-Lugha

Return to "Fasihi" page.