Majadiliano:Gamalieli

Latest comment: miaka 18 iliyopita by Oliver Stegen

Makala kuhusu 'Gamaliel' katika lugha nyingine kama vile Kiingereza au Kijerumani zinamhusu yule Mfarisayo katika Agano Jipya, siyo huyo kiongozi katika Agano la Kale. Ndiyo sababu ilinibidi kuondoa viungo vya hizo lugha nyingine. --Oliver Stegen 20:17, 8 Septemba 2006 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Gamalieli ".