Majadiliano:Gandunia

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Imefanya vizuri sana (hongera - sema hatuna tuzo ninge kupa tuzo. Sasa hapa naona tumeelwana kuhusu swala la lugha. Umefanya vizuri sana kutoa mifano, maana kila unapo taja neno umeweka na neno (yaani kitu fulani- hapa natumai kila kitu kitakuwa sawa) vifuatavyo ni chuki binafsi na si kingine maana kila kitu swafi. Ukizungumzia mifano iliyoelweka basi hii imefunga dimba. Sitegemei kurekebisha chochote pale maana kila kitu kipo sawa. Tukaze mwendo wandugu!!--Mwanaharakati 16:25, 4 Desemba 2007 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Gandunia ".