Majadiliano:Historia ya Ugiriki
Latest comment: mwaka 1 uliopita by Bartazari luvanga in topic ugiriki
ugiriki
haririhabari samahani ndugu zangu, binafsi navutiwa sana na historia ya nchi hii ya ugiriki lakin mpaka sasa sijapata stori nzuri itakayo nipa muongozo wa kutambua hili. karibuni mwenye story yoyote kuhusu uongozi, falsafa zao, tabia, asili yao, tamaduni zao kwa ujumla. Bartazari luvanga (majadiliano) 06:46, 11 Oktoba 2023 (UTC)