Majadiliano:Homa ya manjano

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Riccardo Riccioni

Tafadhali angalia makala juu ya hepatitis. Suala (tafsiri) inaweza kuwa na makosa kwa sababu zote mbili kutumia "homa ya manjano."--Lucas559 (majadiliano) 17:51, 17 Agosti 2015 (UTC)Reply

Ni kweli, Waswahili wengi husema "homa ya njano" kwa maradhi mbalimbali yanayosababisha rangi hiyo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:57, 18 Agosti 2015 (UTC)Reply
Return to "Homa ya manjano" page.