Majadiliano:Jay Moe
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala in topic Habari za kimsingi zakosekana
Habari za kimsingi zakosekana
haririMakala bado yakosa habari za kimsingi kama umri / tarehe au angalau mwaka wa kuzaliwa, alipozaliwa, alikosoma n.k. Kwa jumla nafurahia michango ya wanamuziki na upanuzi wa idara hiyo katika wikipedia yetu ila tu ningefurahia zaidi kama makala yaboreshwa kulingana na kawaida ya kamusi elezo. --Kipala 16:35, 25 Agosti 2007 (UTC)