Majadiliano:John H. Bates

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala in topic Futa?

Futa? hariri

Makala haieleweki. Kichwa hakina uhusiano na maudhui. Halafu hakuna daili kwamba mtu anayejadiliwa ana umaarufu wowote kwa kupokelewa katika kamusi elezo. Hakuna vyanzo wala ushuhuda wowote. Ifutwe.Kipala (majadiliano) 04:34, 6 Oktoba 2019 (UTC)Reply

Return to "John H. Bates" page.