Majadiliano:Jumba la Sanaa la Sydney

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Hili jina la makala nimetoa kwakuwa naamini ya kwamba Opera mara nyingi huwa mambo ya sanaa nk. Lakini hapa nina wasiwasi kuhusu hili jina. Labda tulipe jina mara mbili yaani: "Jumba la Sanaa la Sydney" na kuielekezea: "Jumba la Maonyesho la Sydney", mnaonaje?--Mwanaharakati 06:07, 18 Januari 2008 (UTC)Reply

Return to "Jumba la Sanaa la Sydney" page.