Majadiliano:Kamusi Hai ya Kiswahili Mtandaoni

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala in topic Kuhamia na kufunguliwa upya

Kufungwa kwa Kamusi Hai

hariri

Mwezii wa Septemba 2007 tovuti ya Kamusi Hai ilifungwa na utawala wa chuo kikuu cha Yale.

Sababu za kufungwa

hariri

Sababu yake ni uhamisho wa mtumishi kwenye ofisi ya utawala. Mradi wa kamusi hai ilipewa kibali cha kujitafuta mapato kwa njia ya kuuza saa au mashati. Baada ya mwisho wa mradi kupatiwa fedha na huo kikuu kilikuwa njia ya kuendeleza mradi. Tatizo lilitokea mwaka huu wakati mtumishi mpya amepatikana. Alishtuka kwa sababu tovuti za Yale hazitakiwi kuonyesha matangazo ya kiuchumi pasipo na kibali maalumu. Kibali la awali halikutunzwa wala katika ofisi ya utawala wala katika kumbukumbu ya mradi mwenyewe. Kwa hiyo tovzuti ilisimamishwa.

Kufungwa kunasikitisha

hariri

Watumiaji wengine wameona ni tukio baya wamekaribisha wengine kupeleka maombi Yale kamusi hai irudishwe kama awali. Watu wanaoweza kusaidia tatizo huko Yale ni kama wafuatao:

  • Prof. Richard Levin President - richard.levin@yale.edu
  • Prof. Andrew D. Hamilton - Provost - andrew.hamilton@yale.edu
  • Charles H. Long - Deputy Provost - charles.long@yale.edu
  • Sarah L. Skubas - Exec Assistant to the Provost - sarah.skubas@yale.edu
  • Barbara A. Shailor - Deputy Provost for the Arts - barbara.shailor@yale.edu
  • Prof. Stephen R. Anderson (Chair of Linguistics) - stephen.anderson@yale.edu
  • Prof. Ann Biersteker (African Language Program)- ann.biersteker@yale.edu
  • Prof. Lamin Sanneh, Chair African Studies - lamin.sanneh@yale.edu
  • Susanna E. Krentz Chair Yale Alumni Association - susie.krentz@mitretek.org

Mfano wa barua

hariri

Yafuatayo ni mfano wa barua iliyoandikwa:

Sir / Madam, I would like to draw your attention to a regrettable development on Yales internet presence. I just noticed that the Internet Living Swahili Dictionary has been blocked on the Yale server for some administrative problems.

This online dictionary and community has been for me my first contact to Yale. I was indeed, quite positively surprised that your university has such an impressive site and provides such an important service internationally.

For Swahili as a growing African international language your site has grown to be a major focus world wide. I have also been quite impressed how this programme managed to continue even after formal funding had obviously ended.

As I understand from the communication on the “Internet Living Swahili Dictionary has been taken offline”-screen the problem seems to be of some administrational nature.

I am surprised that such obstacle can come in the way of a unique Yale academic achievement and I would be disappointed if this obstacle should continue to block this important venue.

I could not really imagine so far that for one of the better American Universities a really important Africa related site should not matter any more.

I hope you are the right person to adress about this problem. As I am not familiar with Yale I just have to guess it from your website.

Kind regards

Kuhamia na kufunguliwa upya

hariri

Mwezi wa Novemba 2007 Kmausi Hai imepatikana kwenye anwani mpya www.kamusiproject.org. --Kipala 18:35, 20 Novemba 2007 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kamusi Hai ya Kiswahili Mtandaoni ".