Majadiliano:Kidudu-dubu
Latest comment: miaka 10 iliyopita by ChriKo in topic Jina
Jina
haririNaona jina hili ni jaribio zuri. Baadaye itaonekana ya kwamba katika ngazi hii ya wikipedia yetu walikuwapo wahariri waliotoka kwenye asili ya lugha za Kigermanik cha barani, si ya asili ya Kiingereza, maana tunaelekea kutafuta maneno mapya ya Kiswahili badala ya kuswahilisha maneno ya Kiingereza tu.. Tuone, watakaokuja baadaye watakuwa huru kubadilisha kila kitu! Kipala (majadiliano) 16:04, 23 Julai 2014 (UTC)
- Asante, uko sahihi. Kwa vyovyote vile, haiwezikani kila mara kupata maneno mapya kutoka Kiingereza. Kwa hivyo ninatafuta katika lugha nyingine pia au ninabuni jina jipya. ChriKo (majadiliano) 23:59, 24 Julai 2014 (UTC)