Majadiliano:Kifurushi

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Riccardo Riccioni

"Matumizi ya neno Kifurushi(u) Vifurushi (w) yaongezeka" Naomba wataalamu wa lugha ya Kiswahili watusaidie kufafanua juu ya matumizi ya nomino "kifurushi" kwa sasa, awali tulikuwa tunalitumia kama mzigo ambao umefungashwa ili uweze kusafirishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. lakini sasa tunalitumia pia kama kipimio cha muda wa maongezi au muda wa kukaa mtandaoni. Naomba ufafanuzi wanagenzi.

Wametafsiri hivyo neno "package". Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:19, 1 Machi 2018 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Kifurushi ".