Majadiliano:Kilipuzi

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Baba Tabita

Chanzo au asili ya neno hili wapi? Halipo mtandaoni wala silipati katika kamusi yoyote, hata katika kamusi za isimu. Tena, "mofimu inayosababisha ukanushi katika kitenzi" ni kikanushi. Bila marejeo yanayoonyesha kwamba neno hilo kweli lipo, na ifutwe. --Baba Tabita (majadiliano) 13:25, 5 Aprili 2010 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kilipuzi ".