Majadiliano:Kingala (Kongo)
Latest comment: miaka 13 iliyopita by Baba Tabita in topic Kingala au Kilingala?
Kingala au Kilingala?
haririBwana Kwamikagami, salaam. Nimeona umebadilisha viungo vyote vya Kilingala kuwa Kingala. Bahati mbaya, siwezi kupata jina hilo mtandaoni. Ukigoogle "Kingala" ni jina la kijiji au la mtu lakini ukigoogle "Kilingala" utapata lugha. Linganisha http://www.google.co.ke/search?q=Kingala+kwenye&ie=utf-8&oe=utf-8&aq=t&rls=org.mozilla:en-US:official&client=firefox-a na http://www.google.co.ke/search?q=Kilingala+kwenye&ie=utf-8&oe=utf-8&aq=t&rls=org.mozilla:en-US:official&client=firefox-a Naomba utafakari na kurudisha hali ya Kilingala. Asante. --Baba Tabita (majadiliano) 18:09, 14 Desemba 2011 (UTC)