Majadiliano:Kipindupindu

Kipindupindu ni ugonjwa hatari unaosababishwa na bakteria hasa katika utumbo mwembamba.Bakteria hizo ambazo huitwa vibriocholerae.huweza kusababisha kuhara sana na kutapika sana pamoja na homa kali


[[Jamii:]]Bakteria Maradhi ya kuambukiza

Return to "Kipindupindu" page.