Majadiliano:Kito (madini)

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Riccardo Riccioni

Kwa nini Pete zinazouzwa na maasai zinausishwa na imani za kishirikina hasa watu hupenda kusema ni pete za majini naomba wenye elimu hii watupitishe huko tuone.

Shauri langu ni kwamba uachane na ushirikina kwa sababu ni imani potofu na itakuponza tu. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:48, 5 Septemba 2021 (UTC)Reply
Return to "Kito (madini)" page.