Majadiliano:Kasoko

(Elekezwa kutoka Majadiliano:Kreta)
Latest comment: miaka 4 iliyopita by Riccardo Riccioni

Makala hii kweli inatofautisha maana? Ninavyoona mimi, inaeleza kwa jumla halafu inarejea kwa aina fulani ya kasoko, yaani kasoko ya volkeno. Ningeshauri kuondoa "template" ya 'maana'. --Oliver Stegen 15:25, 10 Februari 2007 (UTC)Reply

Miaka 12 baadaye, hilo limefanyika! Pamoja na hayo, kuna tofauti gani kati ya kasoko ya dharuba na pigo la asteroidi? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:57, 26 Aprili 2019 (UTC)Reply
Return to "Kasoko" page.