Majadiliano:LDP (Kenya)
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Inaonyesha kiasi gani bwana Kipala unaijua Kenya. Ukiangalia mfululizo wa makala kuhusu wanasiasa wabunge na vyama pia, basi huzungumzia vyama vya Kenya au siasa ya Kenya tu. Si vibaya. Ni vyema kuandika unalolijua. Inaletamaana.--Mwanaharakati 05:54, 3 Januari 2008 (UTC)