Majadiliano:Lugha ya kupangwa

Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala

Wapendwa wala "lugha iliyopangwa" wala "lugha iliyotengenezwa" kwangu inaonekana kuwa Kiswahili sanifu. Kwa kweli Kiswahili ndiyo lugha mpya inona mabadiliko mengi.

Kwa ujumla mimi naona tufuate ushauri wa TUKI isipokuwa tukiweza kutaja sababu muhimu ya kudokeza TUKI walikosea au kuna njia nyingine yenye maana. Kwa lugha kama Esperanto TUKI imeshauri "Lugha bandia".

Je, kuna mtu anayepinga pendekezo hili; akipinga ni kwa sababu gani?? --Kipala 00:55, 1 Machi 2006 (UTC)Reply

Return to "Lugha ya kupangwa" page.