Majadiliano:Madhara yasiyolengwa

Add topic
There are no discussions on this page.

Kuna jina linalofaa zaidi ya hili? Sina uhakika sana Collateral damage kwa tafsiri hii niliyoiweka. Tafadhali toeni mchango wenu!--MwanaharakatiLonga 12:11, 14 Machi 2013 (UTC)

Naona ni zaidi madhara ya kando, madhara yasiyolengwa.Kipala (majadiliano) 15:30, 14 Machi 2013 (UTC)
Shukrani Mzee Kipala kwa msaada wako. Nimefanya kadiri ipasavyo!--MwanaharakatiLonga 06:16, 15 Machi 2013 (UTC)
Return to "Madhara yasiyolengwa" page.