Majadiliano:Mapenzi

                  SOMA UFAHAMU 

Na Sophia Power SIMU : Ni chombo kinachowasilisha ujumbe kwa njia ya sauti kutoka sehemu moja kwenda sehemu husika, watu wengi wamekuwa na ufahamu mkubwa wa simu katika swala zima la "MAPENZI" nikimaanisha mambo mengi sana yanatokea katika uvunjaji wa mapenzi kwa wapendanao baina ya watu wawili ambao ni mke na mumu waliodumu kwa muda mrefu usiopungua miaka 10 tangia wafahamiane. simu ni kitu muhimu katika harakati za mwanadaamu za kila siku bali usipojua kuitumia kwa umakini wawezampoteza mwenza wako pasipokutegemea kwani wengi wao wanajigeuza na fisi kwa kujibadilisha muelekeo na kuanza kuunda uhusiano na mtu mwengine kwa kumsaliti mwenza wake wa zamani ambaye wamepeana ahadi na kula kiapo kutoka Mungu kwamba atakae kwenda kinyume na mwenza wake atadhibiwa na aliyemuumba.

Wahenga wamesema! maachano ya wapendanao yanatoka kwa Mungu bali pia wanajitakia wenyewe kwa kujilazimisha kupenda kuwili pasipofikifia nini kitatokea baadea.

ushauri: Muwe makini katika swala la mapenzi kwani ni kitu cha makubaliano kwenu na mlipoanza mapenzi hakutokea mtu wa kuwalazimisha mahusiano yenu hayo bali mlipendana kwa hiari ya nafsi.

Rudi kwenye ukurasa wa " Mapenzi ".