Majadiliano:Marcela Pezet

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Kuna makala zingine huwa tunaandika ndio kwakuwa huwa tunajua umri wao na miaka waliozaliwa ikiambatana na filamu walizo igiza. Lakini uikijaribu kuzitafuta katika wikipedia zingine huwezi kuzipata, je habari au makala kama hizi katika wikipedia zatakiwa? Au kuna ulazima wa habari iwepo katika en:wiki de:wiki!!! Au tujivunie kwakuwa tuna habari ambao wenzetu hawana!!! Sijui hapo inakuwaje.--Mwanaharakati 07:47, 18 Desemba 2007 (UTC)Reply

Return to "Marcela Pezet" page.