Majadiliano:Mji wa Tanga

Latest comment: miaka 19 iliyopita by Kipala

Asante kwa ajili ya makala! Lakini siamini ya kwamba asili ya jina "Tanga" ni lugha ya Kiajemi. Habari hii imepatikana wapi? --172.176.17.217 18:18, 25 Desemba 2005 (UTC)Reply

Habari iko katika toleo gani? Yaani ya tarahe gani? --Kipala 18:36, 25 Desemba 2005 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Mji wa Tanga ".