Majadiliano:Kababu za samaki

(Elekezwa kutoka Majadiliano:Mpira wa Samaki)
Latest comment: mwaka 1 uliopita by ChriKo in topic Tafsiri isiyofaa

Tafsiri isiyofaa hariri

Mpira wa samaki ni tafsiri isiyofaa kwa "fish ball". Maana ya mpira kwanza ni "rubber", kwa hivyo ikiwa maana yake ni "ball" hiyo ball ni aina ya rubber au labda ya plastiki. Kwa ujumla, "food ball" ni tonge kwa Kiswahili, au kitonge ikiwa ni dogo. "Meat ball" ni kababu, kwa hivyo labda tutumie hii kwa "fish ball" pia. Mnapendelea neno gani? ChriKo (majadiliano) 08:13, 21 Juni 2022 (UTC)Reply

Return to "Kababu za samaki" page.