Majadiliano:Msamaha
Msamaha ni hali ya kuachilia iwe adhabu ama tuhuma kule ambako zilistahili. Msamaha wa kweli hauangalii umekosewa mara ngapi ama na mtu gani yaani kusamehe bila kujali mahusiano ya kikabila,jinsi,umri n.k. Pia kuna faida katika kusamehe, faida hizo ni kama; Kujihakikishia na sisi kusamehewa, tunakuwa ni wenye furaha, tunajenga mahusiano mazuri na Mungu na wanadamu, tunafanya sala/dua zetu mbele ya Mungu ziwe na maana, samaha unatuepusha kuvunja amri nyingine za Mungu (tunaepushwa kusema uongo mbele za Mungu)
Start a discussion about Msamaha
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Msamaha.