Majadiliano:Ndimu

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic Spishi gani?

Spishi gani? hariri

Mnasema kwamba ndimu ni tunda la miti ya spishi mbalimbali. Lakini ukarasa wa Mndimu unasema kwamba mti huu ni spishi moja tu: Citrus aurantiifolia. Nani ana sahihi? ChriKo (majadiliano) 22:38, 9 Juni 2014 (UTC)Reply

"Spishi mbalimbali" ilikuwa habari ya mwandishi wa kwanza ambayo sijabadilisha na nimeshangaa pia. Kamusi inasema ni "lime" kwa hiyo ni citrus. Sijui kama kieneo wanatumia neno "ndimu" kwa matunda mengine pia? Lakini tatizo hili linaweza kupatikana kwa kila kitu. Naona ufanye uainishaji tu kwa citrus. Kipala (majadiliano) 08:41, 10 Juni 2014 (UTC)Reply
Kuna spishi moja ya "lime tree" tu inayopatikana sana katika Afrika: "key lime" au Citrus aurantiifolia (mndimu). "Sweet lime" (mndimu mtamu) hupandwa huko Afrika ya Kaskazini. "Limequat" (mndimusambia???) hupandwa nchini mwa Afrika Kusini tu na hamjulikani katika sehemu nyingine za Afrika. Mwishowe "lime trees" au Tilia spp. haipatikani katika Afrika na matunda yao hayauzwi. Nastahabu kutokubuni majina kwa matunda yasiyouzwa katika Afrika ya Mashariki. Wasemaje? ChriKo (majadiliano) 20:36, 10 Juni 2014 (UTC)Reply
Haya, fanya tu! Kipala (majadiliano) 20:44, 10 Juni 2014 (UTC)Reply
Return to "Ndimu" page.