Majadiliano:Nyati wa Afrika

Nyati ni mnyama mkubwa. Ana mita 1.7 kwenda juu, urefu wa mita 3.4.

Nyati wa savana ana uzito wa kilo 500–900, ambapo nyati wa kiume kwa kawaida huwa mkubwa kuliko nyati wa kike, akiwa na uzito wa juu mbalimbali. Nyati wa msitu huwa nusu ya kiwango hicho.[1]

Nyati wa savana huwa wa rangi nyeusi au kahawia nyeusi na pembe zao zimejikunja katika mpevu; nyati wa msitu nao huwa wa rangi ya kahawia nyekundu na pembe zao zimejikunja nyuma na juu.

Ndama wa aina zote mbili wana ngozi nyekundu.

Start a discussion about Nyati wa Afrika

Start a discussion
Rudi kwenye ukurasa wa " Nyati wa Afrika ".