Majadiliano:Nyumba ya Tippu Tip, Zanzibar

Sina hakika na ujuzi zaidi kama inafaa kutumia link katika Wikipedia ya Kiingereza na kuiweka katika Wikipedia ya Kiswahili, naona ingefaa sana kama makala ingetafsiriwa moja kwa moja kutoka katika Kiingereza kuja Kiwahili huku ikitumia vyanzo vyake vilevile na kuviboresha, labda na wengine wanaweza kutazama hili, Asante sana,

Start a discussion about Nyumba ya Tippu Tip, Zanzibar

Start a discussion
Rudi kwenye ukurasa wa " Nyumba ya Tippu Tip, Zanzibar ".