Majadiliano:Orodha ya makabila ya Kenya

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala in topic Nani awemo au asiwemo

Nani awemo au asiwemo hariri

Naona ugumu kuorodhesha makabila yanayotajwa halafu kuwaacha "wakimbizi" au "wahamiaji". Watu kama Waarabu wa pwani wanaonekana ni wa asili tofauti kuliko wana uhusiano na Uarabuni. Lakini wote wamahamia Kenya: Wabantu wana asili katika Afrika ya Magharibi. Makabila yanayotajwa wana histioria ya miaka mamia kadhaa. Inajulikana ya kwamba Waniloti kama Waluo walifika Kenya tangu miaka 200 - 300. Lakini Waarabu wamejulikana kwenye pwani za Kenya tangu miaka 1000. --Kipala 21:16, 3 Desemba 2006 (UTC)Reply

Return to "Orodha ya makabila ya Kenya" page.