Majadiliano:Paoneaanga

Latest comment: miezi 9 iliyopita by Jadnapac in topic Maelezo kuhusu msamiati huu

Maelezo kuhusu msamiati huu hariri

Neno hili lilitungwa nami Jadnapac mnamo tar 26 Nov 2019 likiwa na maana ya Pahala ambapo wanaastronomia hutumia kuona/kuonea na kuchunguza mambo ya anga.

(Pa)hala ambapo wanaastronomia hutumia ku(onea) (anga)= Paoneaanga

Zoezi hili lilifanyika wakati wa Warsha ya Mambo ya Nyota iliyofanyika katika chuo cha Open University of Tanania-Biafra. Baadhi ya waliohudhuria katika warsha hii ni pamoja na Ndg. Riccardo, Ndg. Muddby, Dr. Jiwaji na Marehemu Ndg. Kipala (alikuwa mwandaaji, mratibu na mwezeshaji mkuu wa warsha hii).Jadnapac (majadiliano) 11:08, 16 Julai 2023 (UTC)Reply

Return to "Paoneaanga" page.