Majadiliano:Paraguay

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Oliver Stegen

Kuhusu tarehe ya uhuru wa Paraguay, makala hazikubaliani. Hii inasema tarehe 14 Mei, lakini makala ya 1811 inataja 15 Mei. Tarehe ipi ya kweli? --Oliver Stegen 13:28, 24 Oktoba 2006 (UTC)Reply

Return to "Paraguay" page.