Majadiliano:Pendo
Latest comment: miaka 13 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Mapenzi
Mapenzi
haririSikubali ukurasa huu uunganishwa na ule wa Mapenzi. Tujaribu kutofautisha maneno yale machache ya Kiswahili yanayohusu bahari ya moyo wa binadamu. Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:26, 4 Desemba 2011 (UTC)