Majadiliano:Pluto
Latest comment: miaka 13 iliyopita by Baba Tabita
What resources did you use to find the translation of this planet's name? --Mjanja 22 Aprili 2011
- Jina la sayari hiyo lisitafsiriwe. Kamusi ya TUKI haifanyi hivyo. Kwa majina ya sayari kwa kawaida Kiswahili hutumia jina la Kiarabu, ila Pluto imechelewa kugunduliwa jinsi hata Kiarabu kinaitaja kama Pluto. Ukigundua jina lingine kwa Pluto, karibu kuiweka kama "#redirect". Makala hii lakini ibaki kama makala kuu. Asante, --Baba Tabita (majadiliano) 12:03, 23 Aprili 2011 (UTC)