Majadiliano:Ps 2

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Ihamishe

Makala hii nimechukua jukumu la kuiweka sawa kama ipasavyo makala zote za wikipedia zinavyotakiwa ziwe. Nikiwa bado naandaa zana za kutumia katika makala hii, naomba nipewe muda kwani hizo template iko tayari kwa kutafsiriwa. Endapo atatokea mtu yoyote kutaka kuitafsiri makala hii au template husika na makala hii, basi atafusri tu kwani mie bado nafanya taratibu. Ningependa kutanguliza samahni zangu kwa wakabidhi wote wa hapa katika sw:wiki, kwa kuchelewesha makala kuhaririwa. Naomba nipewe muda kidogo. Kwa leo nita tafsiri template na sehemu fulani ya makala. Basi kila lakheri.--Mwanaharakati 07:08, 10 Desemba 2007 (UTC)Reply

Ihamishe

hariri

Muddy nashukuru ya kwamba umeingilia kati hapa. Mimi ningeshauri kuhamisha yaliyomo chini ya Playstation2 na kuacha Ps2 kama redirect. Ps 2 ningefuta kwa sababu nafasi hii haipo na kifupi cha Ps pekee yake haina maana (tazama en:Ps). --91.62.12.112 10:10, 10 Desemba 2007 (UTC)Reply

Sizani kama itakuwa vibaya kwani hata mimi nilivyoenda en:wiki, sijaikuta hii Ps 2, hadi nilivyo andika PS 2 ndio ikaja. Ila kwakuwa najua alimaanisha nini basi nikaona niiweke sawa kisha ningeisogeza katika Play Station 2. Ahsante, waweza kufanya tu hata sasa.--Mwanaharakati 11:12, 10 Desemba 2007 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Ps 2 ".