Majadiliano:Riadha
Latest comment: siku 23 zilizopita by Hatwabi Mfaume Mwalimu in topic Riadha ni neno lenye asili ya Kiarabu linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara,
Riadha ni neno lenye asili ya Kiarabu linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara,
haririSamahani, umetoa maana ya riadha na ipo sahihi kabisa, lakini wasiwasi wangu upo katika maneno ambayo naona hayajakaa sehemu sahihi. Mfano umesema " linalojumlisha aina mbalimbali za michezo za hadhara. Nimefikiri usahihi ingekuwa " linalojumuisha aina mbalimbali ya michezo ya hadhara" Hatwabi Mfaume Mwalimu (majadiliano) 04:35, 2 Novemba 2024 (UTC)