Majadiliano:Riwaya
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Baba Tabita
kuhariri kazi ya waandishi wa riwaya si jambo la kawaida sana kama watu wengine wanavyofikili.mfano katika riwaya ya said a mohamed ya 'utengano' msaii ametumia mbinu mbali mbali zalugha je ungependa kuzijua? fuatiliana nami muda si mrefu..........karibu sana...
- Karibu sana! Ingawa sijui kama utasoma jibu langu hapa kwa vile hujajiandikisha lakini tujaribu. Nimeongeza vichwa viwili ndani ya makala nikiomba uongeze habari ya uhariri chini ya kichwa husika. Tutafurahia mchango wako. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:16, 19 Novemba 2010 (UTC)