Majadiliano:Shambulio la mfululizo la kifafa
Latest comment: miaka 8 iliyopita by Baba Tabita in topic Lugha
Lugha
haririMakala ilivyo haieleweki vizuri. Kwa jumla, sentensi ni ndefu mno, na zina virai vingi mno. Mswahili aelewaye mambo ya tiba airekebishe. Asante. --Baba Tabita (majadiliano) 07:30, 24 Juni 2016 (UTC)