Majadiliano:Siku ya Wanawake Duniani

WANAWAKE TUNAWEZA KUITENDEA HAKI KAULI MBINU YA MWAKA? hariri

Kuelekea siku ya wanawake duniani...kama kichwa cha habari tujipime sisi wenyewe kwa kujiuliza na kupatajibu kama kweli tunaweza kwa

. kumaliza mahitaji yetu madogo madogo bila kumshirikisha mtu mfano.

. kutoa misaada midogo midogo kwa kutumia kipato kwa wahitaji km yatima/Wajane

. Kutatua shida ndogo ndogo ndani ya familia

jiulize/ jipime kupitia hayo maswali matatu.. kama kunaugumu ndani yake unahitaji nguvu ya ziada katika kujikwamua kiuchumi LENTUNDA (majadiliano) 13:23, 6 Machi 2023 (UTC)Reply

Return to "Siku ya Wanawake Duniani" page.