Majadiliano:Tarakilishi mpakato

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Luckimg2

Je, tunaweza badilisha jina la ukurasa huu hadi "Kipakatalishi"? Maanake nahisi tukisema "Tarakilishi mpakato" ni kama tunajaribu sana kutafsiri maneno "computer" na "lap" hadi kiswahili.

Mifano katika matumizi:

Luckimg2 (majadiliano) 12:57, 17 Julai 2017 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Tarakilishi mpakato ".