Nini

hariri

Nini maana ya ubepari. Tumia wataalamu mbalimbali na marejeleo ~2024-27473 (talk) 10:02, 15 Desemba 2024 (UTC)Reply

Nini maana ya ubepari kwa mujibu wa wataalamu mbalimbali na marejeleo

hariri

ubepari:ni mfumo wa kijamii ambao njia zote za uzalishaji Mali kama vile viwanda, Benki, na njia zingine za uzalishaji Mali humilikiwa na watu wa chache kwa manufaa Yao wenyewe. ~2024-27473 (talk) 10:08, 15 Desemba 2024 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Ubepari ".