Majadiliano:Uchumi

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Baba Tabita in topic kuunganisha makala manne

kuunganisha makala manne hariri

Bahati mbaya, makala hiyo imefutwa na tafsiri za shindano la 2009/2010 mara tatu:

  1. tarehe 2 Desemba;
  2. tarehe 5 Januari;
  3. tarehe 6 Januari.

Sasa itakuwa lazima kuunganisha makala hayo manne, ile ya kabla ya shindano (ambayo ilikuwa na jamii na interwiki zilizofutwa) na zile tatu za shindano. Poleni na kazi! --Baba Tabita (majadiliano) 12:15, 2 Februari 2010 (UTC)Reply

Return to "Uchumi" page.