Majadiliano:Udeni

Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala

Kamusi ya "Kamusi Project" inaandika kwamba jina la Kiswahili la nchi hii ni Denmaki (au Denimaki au Denmak). Kwa hiyo naania kwamba tuihamishe makala hii iwe "Denmaki". Je, ninyi mnakubali? Marcos 19:33, 22 Julai 2006 (UTC)Reply

Angalia jibu langu kuhusu Iceland /Isilandi/Aisilandi. Majina haya ni ndoto au nadharia tupu. Kwa nini unataka kuchagua "Denmaki" badala ya "Denimaki" au "Denmak"? Tusipoteze muda, ongeza viungo ukiona jian fulani lipo kweli nje ya orodha lile. --Kipala 23:43, 22 Julai 2006 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Udeni ".