Majadiliano:Ufalme wa Kazembe

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Oliver Stegen in topic Dola - milki - himaya - utemi

Dola - milki - himaya - utemi hariri

Napakia sasa hapa uchunguzi wa kamusi kadhaa kuhusu matumizi ya maneno haya. Baadaye tuhamishe kwenye majadiliano ya makala dola au milki itakapoandikwa. --Kipala 09:07, 5 Septemba 2007 (UTC)Reply


TUKI KKK/ESD
State – dola, serikali Head of state: mkuu wa nchi State’s evidence – shahidi wa serikali

Empire – ufalme, milki British empire – falme ya Uingereza (??) Emperor mfalme mkuu

Kingdom – ufalme, himaya United Kingdom – Uingereza Kingdom of God – Ufalme wa Mungu

TUKI KKK/SED
Dola - state, government, polity

Ufalme – kingship, the crown

Milki – realm, kingdom, estate

Himaya – protection, authority, trusteeship

Usultani – sultanship


(M-J SSE

Dola - government, authorities

Ufalme – kingship, chiftainship, royalty; sway, rule, dominion; sphere of dominion, kingdom

Milki – possession, property, dominion, kingdom

Himaya – protection, guardianship


Bakhressa KMM
Dola – taifa, nchi


(Utemi- I use it for a feudal governed area below the rank of kingdoms or sovereign states like principality)

Asante, Kipala! Nimesogeza makala zote kwenye "Ufalme wa ...", na kurejesha pia "dola" na "milki". --Oliver Stegen 09:48, 7 Septemba 2007 (UTC)Reply
Return to "Ufalme wa Kazembe" page.