Majadiliano:Pumu

(Elekezwa kutoka Majadiliano:Ugonjwa wa mapafu)
Latest comment: miaka 8 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Ugonjwa wa mapafu?

Ugonjwa wa mapafu? hariri

Tafadhali, mmepata tafsiri hiyo ya "asthma" wapi? Maana ya ugonjwa wa mapafu ni "lung disease" tu. Ukimaanisha ugonjwa mahususi afadhali ni "bronchitis". Tafsiri sahihi ya "asthma" ni pumu. Ni bora kuhamisha makala hii. ChriKo (majadiliano) 21:51, 15 Agosti 2015 (UTC)Reply

Hata mimi najua asthma ni pumu.. Nashangaa jina hili! Badilisha tu, ndugu ChriKo..--MwanaharakatiLonga 05:06, 17 Agosti 2015 (UTC)Reply
Return to "Pumu" page.