Majadiliano:Ukoloni

Latest comment: miaka 18 iliyopita by 172.181.158.250

Ni jambo gumu kusema ukoloni ni taifa kutawala taifa nyingine. Maana yake "taifa" kisiasa ni istilahi ya juzi tu, imeptikana tangu karne ya 19.

Lakini jina la "koloni" ni asili ya Kiroma yaani miaka 2000 iliyopita. Je,tusemaje?? --172.181.158.250 01:43, 27 Desemba 2005 (UTC)Reply

Return to "Ukoloni" page.